Ofisini kwetu tulipokea kesi ya binti mwenye umri wa miaka 20 aliyepasuliwa tumbo wakati wa kujifungua., wakamshonea uchafu wote tumboni hadi kondo la nyuma. Jambo lililopelekea kizazi kuoza kikatolewa wakati mtoto aliyezaliwa alifariki. Je huu si ukatili wa kijinsia? | (Not translated) | Hindura |