Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Shughuri yetu kubwa ni kutetea haki za wanawake na watoto, hususani usuluhishi wa migogolo. Changamoto kubwa tuliyo nayo ni kwamba kipindi cha kuanzia mwishoni mwa mwaka 2011 hadi sasa, migogoro ya ndoa imekuwa mingi mno. Familia hazina amani, watoto wanahathirika kisaikolojia. Je wenzangu ;mnafikiri tatizo hasa ni nini?
April 8, 2012
Next »

Comments (1)

Ofisini kwetu tulipokea kesi ya binti mwenye umri wa miaka 20 aliyepasuliwa tumbo wakati wa kujifungua., wakamshonea uchafu wote tumboni hadi kondo la nyuma. Jambo lililopelekea kizazi kuoza kikatolewa wakati mtoto aliyezaliwa alifariki. Je huu si ukatili wa kijinsia?
April 8, 2012

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.