Base (Icyongereza) | Kinyarwanda |
---|---|
PSD is now operating in Simiyu region with sports teachers and school children. The organization calls upon organizations and cbo's with similar goals to join hands in gearing social development in this young region
MAFUNZO YA MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA NA WATOTO YANAENDELEA JIJINI MWANZA Mafunzo ya mpira wa kikapu kwa watoto na vijana yanafanyika katika uwanja wa kanisa katoliki Nyakahoja jijini Mwanza kwa siku za jumatatu na jumatano kuanzia saa 9:00 alasiri na siku ya jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi. Mafunzo haya yanaandaliwa na kusimamiwa na Shirika la kijamii la Planet Social development (PSD) la jijini Mwanza pamoja na Chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Mwanza (MRBA) kupitia kamisheni ya watoto vijana na maendeleo na shule kwa kushirikiana na mlezi wa watoto na vijana (MRBA) ndg. Altaf Hirani Mansoor yanajumuisha watoto na vijana mbalimbali kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari za Jijini mwanza. Planet Social Development (PSD) ni shirika la kijamii la hapa mkoani Mwanza linalojishugulisha na shughuli mbalimbali za kuendesha na kusimamia mafunzo mbalimbali ya michezo kwa watoto, vijana na walimu wa michezo. Mafunzo haya yanaendeshwa na kusimamiwa na PSD na MRBA kupitia makocha na pia wachezaji wazoefu wa mchezo huu hapa mkoani Mwanza yana malengo yafuatayo hapa chini.
Pamoja na hayo hapo juu PSD na MRBA inaomba wadau mbalimbali wajitokeze kuweza kusaidia mpango huu endelevu wa kufundisha vijanakwa kusaidia vifaa mbalimbali vya kufundishia hasa mipira pia tunatoa rai kwa wazazi na walimu wawaruhusu na kuwelekeza watoto na vijana hawa kufika uwanjani kwa siku tajwa ili tuweze kuendeleza vipaji vya watoto hawa na kuinua kiwango cha mchezo huu hapa mkoani na Tanzania kwa ujumla. Imetolewa.
Kizito Bahati Mratibu wa mafunzo http:// www.envaya.org/psd
|
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe