Envaya

/psd/projects: Kiswahili: WI0001425D3CC57000009574:content

Asili (Kiingereza) Kiswahili
PSD is now operating in Simiyu region with sports teachers and school children. The organization calls upon organizations and cbo's with similar goals to join hands in gearing social development in this young region

 

MAFUNZO YA MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA NA WATOTO YANAENDELEA JIJINI MWANZA

Mafunzo ya mpira wa kikapu kwa watoto na vijana yanafanyika katika uwanja wa kanisa katoliki Nyakahoja jijini Mwanza kwa siku za jumatatu na jumatano kuanzia saa 9:00 alasiri na siku ya jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi. Mafunzo haya yanaandaliwa na kusimamiwa na Shirika la kijamii la Planet Social development (PSD) la jijini Mwanza pamoja na Chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Mwanza (MRBA) kupitia kamisheni ya watoto vijana na maendeleo na shule kwa kushirikiana na mlezi wa watoto na vijana (MRBA) ndg. Altaf Hirani Mansoor yanajumuisha watoto na vijana mbalimbali kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari za Jijini mwanza.

Planet Social Development (PSD) ni shirika la kijamii la hapa mkoani Mwanza linalojishugulisha na shughuli mbalimbali za kuendesha na kusimamia mafunzo mbalimbali ya michezo kwa watoto, vijana na walimu wa michezo.

Mafunzo haya yanaendeshwa na kusimamiwa na PSD na MRBA kupitia makocha na pia wachezaji wazoefu wa mchezo huu hapa mkoani Mwanza yana malengo yafuatayo hapa chini.

  1. Kuibua vipaji na jinsi ya kuviendeleza katika kusaidia maendeleo ya mchezo huu hapa mkoani Mwanza na Tanzania kwa ujumla ambao ni wito wa MRBA na Serikali kwa ujumla wa kutaka watoto na vijana wakishiriki katika michezo.
  2. Watoto na vijana hawa wanapata nafasi ya kujenga miili yao kiakili na kimwili (mentally & physically) wanaposhiriki katika mazoezi mbalimbali.
  3. Watoto na vijana hawa wanapata nafasi ya kukutana na wenzao kutoka shule mbalimbali na kujifunza mambo mbalimbali miongoni mwao.
  4. Kupitia michezo watoto na vijana wanaoshiriki wanapata elimu ya jinsi ya kupata nafasi ya kwenda kusoma katika shule na vyuo mbalimbali vya ndani na nje ya nchi ikiwa ni pamoja na kutakiwa kusoma na kufaulu masomo yao vizuri na pia kufanya mazoezi kwa bidii ili waweze kuwa mchezaji wazuri (scholarship program).
  5. Kutoa nafasi kwa mashirika mengine ya kijamii ambayo hujishugulisha na utoaji wa elimu ya makuzi kwa watoto na vijana na kuwaelimisha katika kuzifahamu haki za mtoto katika kujifunza.
  6. Kutoa nafasi kwa walimu wa michezo kuwatambua wanafunzi wao ili waweze kuwatumia katika kuunda timu za shule katika mashindano ya shule katika ngazi za kata, wilaya, mkoa na taifa (umitashumta na umisseta).
  7. Kutoa nafasi kwa makocha wa mchezo huu hapa mwanza katika kujifunza namna ya kuendesha mafunzo kama haya kwa timu zao katika maeneo mbalimbali hapa mkoani.
  8. Kuendeleza mafunzo ya mpira wa kikapu tuliyoyaanzisha hapa jijini Mwanza October 2011 kwa kushirikiana na Mambo Basketball kutoka Dar es Salaam yaliyokuwa na lengo la kuwatayarisha vijana kwa ajili ya kambi ya mafunzo ya mpira wa kikapu itakayofanyika mwezi wa june 2012 kwa kushirikiana na kocha wa Basketball program ya Memorial Newfound University kutoka Canada .
  9. Kuendeleza na kutekeleza mafunzo tuliyojifunza wakati tulipohudhuria mafunzo ya ukocha wa mpira wa kikapu kwa watoto na vijana nchini Marekani mwaka 2009 kama US Sports program Alumni yaliyogharamiwa na Ubalozi wa Marekani – Tanzania kupitia US Sports program .

Pamoja na hayo hapo juu PSD na MRBA inaomba wadau mbalimbali wajitokeze kuweza kusaidia mpango huu endelevu wa kufundisha vijanakwa kusaidia vifaa mbalimbali vya kufundishia hasa mipira pia tunatoa rai kwa wazazi na walimu wawaruhusu na kuwelekeza watoto na vijana hawa kufika uwanjani kwa siku tajwa ili tuweze kuendeleza vipaji vya watoto hawa na kuinua kiwango cha mchezo huu hapa mkoani na Tanzania kwa ujumla.

Imetolewa.

 

Kizito Bahati

Mratibu wa mafunzo

kizitobahati@yahoo.com

http:// www.envaya.org/psd

                                        

Mafunzo YA MPIRA WA KIKAPU KWA Vijana NA Watoto YANAENDELEA JIJINI MWANZA

Mafunzo ya mpira wa kikapu Kwa Watoto Rangi Vijana yanafanyika katika uwanja wa Kanisa Katoliki Nyakahoja jijini Mwanza Kwa SIKU za jumatatu jumatano kuanzia saa Rangi 9:00 Alasiri Rangi SIKU ya jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi. Mafunzo Wahaya yanaandaliwa Rangi kusimamiwa Rangi Shirika la kijamii la Sayari Maendeleo ya Jamii (PSD) la jijini Mwanza PAMOJA Rangi Chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Mwanza (MRBA) kupitia kamisheni ya Watoto Vijana Rangi Maendeleo Rangi Shule Kwa kushirikiana Rangi mlezi wa Watoto Rangi Vijana ( MRBA) ndg. Altaf Hirani Mansoor yanajumuisha Watoto Rangi Vijana mbalimbali ya ziada Shule mbalimbali za Msingi Rangi sekondari za Jijini Mwanza.

Sayari ya Maendeleo ya Jamii (PSD) nai shirika la kijamii la hapa Mkoani Mwanza linalojishugulisha Rangi shughuli mbalimbali za kuendesha Rangi kusimamia Mafunzo mbalimbali ya michezo Kwa Watoto, Vijana Rangi walimu wa michezo.

Mafunzo Wahaya yanaendeshwa Rangi kusimamiwa Rangi PSD Rangi MRBA kupitia makocha Rangi Pia wachezaji wazoefu wa mchezo Huu hapa Mkoani Mwanza yana malengo yafuatayo hapa Chini.

  1. Kuibua vipaji Rangi jinsi ya kuviendeleza katika kusaidia Maendeleo ya mchezo Huu hapa Mkoani Mwanza Rangi Tanzania Kwa ujumla ambao nai wito wa MRBA Rangi Serikali Kwa ujumla wa kutaka Watoto Rangi Vijana wakishiriki katika michezo.
  2. Watoto Rangi Vijana hawa wanapata Nafasi ya kujenga miili Yao kiakili Rangi kimwili (kiakili & kimwili) wanaposhiriki katika mazoezi mbalimbali.
  3. Watoto Rangi Vijana hawa wanapata Nafasi ya kukutana Rangi wenzao ziada Shule mbalimbali Rangi kujifunza poa mbalimbali miongoni mwao.
  4. Kupitia michezo Watoto Rangi Vijana wanaoshiriki wanapata Elimu ya jinsi ya email Nafasi ya Kwenda kusoma katika Shule Rangi vyuo mbalimbali vya ndani Rangi nje ya Nchi ikiwa nai PAMOJA Rangi kutakiwa kusoma Rangi kufaulu Mashirika Yao vizuri Rangi Pia kufanya mazoezi Kwa bidii ili waweze kuwa mchezaji wazuri ( udhamini program).
  5. Kutoa Nafasi Kwa mashirika mengine ya kijamii ambayo hujishugulisha Rangi utoaji wa Elimu ya makuzi Kwa Watoto Rangi Vijana Rangi kuwaelimisha katika kuzifahamu Haki za Mtoto katika kujifunza.
  6. Kutoa Nafasi Kwa walimu wa michezo kuwatambua Wanafunzi wao ili waweze kuwatumia katika kuunda timia za Shule katika mashindano ya Shule katika ngazi za kataṃ, wilaya, mkoa Rangi Taifa (umitashumta Rangi umisseta).
  7. Kutoa Nafasi Kwa makocha wa mchezo Huu hapa Mwanza katika kujifunza namna ya kuendesha Mafunzo Kama Wahaya Kwa timia ZAO katika maeneo mbalimbali hapa Mkoani.
  8. Kuendeleza Mafunzo ya mpira wa kikapu tuliyoyaanzisha hapa jijini Mwanza Oktoba 2011 Kwa kushirikiana Rangi Mambo mpira wa kikapu ya ziada Dar es Salaam yaliyokuwa Rangi lengo la kuwatayarisha Vijana Kwa ajili ya kambi ya Mafunzo ya mpira wa kikapu itakayofanyika mwezi wa Juni 2012 Kwa kushirikiana Rangi kocha wa mpira wa kikapu ya mpango Memorial mapya, Chuo Kikuu cha ziada Canada.
  9. Kuendeleza Rangi kutekeleza Mafunzo tuliyojifunza wakati tulipohudhuria Mafunzo ya ukocha wa mpira wa kikapu Kwa Watoto Rangi Vijana nchini Marekani Mwaka 2009 Kama Marekani Sports mpango Alumni yaliyogharamiwa Rangi Ubalozi wa Marekani - Tanzania kupitia Marekani Sports mpango.

Pamoja Rangi Hayo hapo Juu PSD Rangi MRBA inaomba wadau mbalimbali wajitokeze kuweza kusaidia mpango Huu endelevu wa kufundisha vijanakwa kusaidia vifaa mbalimbali vya kufundishia Hasa mipira Pia tunatoa rai Kwa Wazazi Rangi walimu wawaruhusu Rangi kuwelekeza Watoto Rangi Vijana hawa kufika uwanjani Kwa SIKU tajwa ili tuweze kuendeleza vipaji vya Watoto hawa Rangi kuinua kiwango cha mchezo Huu hapa Mkoani Rangi Tanzania Kwa ujumla.

Imetolewa.

Kizito Bahati

Mratibu wa Mafunzo

kizitobahati@yahoo.com~~V

http:// www.envaya.org / PSD


Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe

Historia ya tafsiri

Google Translate
19 Aprili, 2012
Mafunzo YA MPIRA WA KIKAPU KWA Vijana NA Watoto YANAENDELEA JIJINI MWANZA – Mafunzo ya mpira wa kikapu Kwa Watoto Rangi Vijana yanafanyika katika uwanja wa Kanisa Katoliki Nyakahoja jijini Mwanza Kwa SIKU za jumatatu jumatano kuanzia saa Rangi 9:00 Alasiri Rangi SIKU ya jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi. Mafunzo Wahaya yanaandaliwa Rangi kusimamiwa Rangi Shirika...
This translation refers to an older version of the source text.
Google Translate
14 Machi, 2011
kadogoo mpango 1.0 UTANGULIZI – Umuhimu wa elimu, ubunifu, michezo na afya na maendeleo ya jamii na ya baadaye ya Tanzania ni kipimo. Lengo la elimu yoyote ni kuwasaidia utvecklas fahamu zetu kwa njia ya nidhamu ya kujifunza, wito na malezi ya thamani. ...
This translation refers to an older version of the source text.