Base (Swahili) | English |
---|---|
Jumuiya ya sunrise development society (SUDESO) iliazishwa disemba 2008 na kupatiwa usajili na mrajisi wa serikali ya mapinduzi zanzibar tarehe 01-12-2009 nambari 776. jumuiya inawanachama 30, 13 wanawake na 17 wanaume, sambamba na bodi ya wadhamini yenye jumla ya watu wa tano. jumuiya imeshajitambulisha sehemu tofauti za serikali pamoja na wazee wa sehemu husika acoount ya jumuiya 021212000171 BENK YA WATU WA ZANZIBAR, JINA AKAUNT NI SUNRISE DEVELOPMENT SOCIETY. |
Sunrise Community Development Society (SUDESO) iliazishwa December 2008 and received the registration and register the Revolutionary Government of Zanzibar on 01-12-2009 the number 776. inawanachama 30 communities, 13 women and 17 men, along with the board of trustees with a total of five people. community imeshajitambulisha different parts of government together with the elders of the respective sections 021212000171 community bank acoount THE PEOPLE OF ZANZIBAR, AKAUNT NAME IS SOCIETY Sunrise Development. |
Translation History
|