About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/viziwi/history
: English
Base
English
Tawi la CHAVITA Mtwara kwa kifupi CHAVITA MTWARA lilianzishwa mwaka 2001 chini ya Katiba na kanuni za Matawi ya chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kwa juhudi za Viziwi wenyewe. Pia sawa na Matawi yote ya CHAVITA Tawi linatumia nembo na Kauli mbiu ya CHAVITA ambayo ni USAWA NA HAKI. Aidha Tawi lina Dira na Utume wake katika kutekeleza malengo yake. – DIRA. Kuwa na Jamii ya Viziwi inayoishi maisha bora na yenye staha – UTUME. CHAVITA...
Mtwara Branch CHAVITA briefly CHAVITA MTWARA founded in 2001 under the Constitution and principles of the party branches of the Deaf TTanzania (CHAVITA) for Deaf own efforts. Also similar to all branches of CHAVITA Branch uses the logo and slogan CHAVITA which is equality. Also uses the Vision and Mission Branch of CHAVITA in implementing its objectives. – VISION. CHAVITA ensure that Tanzanian society inawatambua, inawakubali, inawathamini, inawashirikisha Deaf and ensure...
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit