Base (Swahili) | English |
---|---|
Tawi la CHAVITA Mtwara kwa kifupi CHAVITA MTWARA lilianzishwa mwaka 2001 chini ya Katiba na kanuni za Matawi ya chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kwa juhudi za Viziwi wenyewe. Pia sawa na Matawi yote ya CHAVITA Tawi linatumia nembo na Kauli mbiu ya CHAVITA ambayo ni USAWA NA HAKI. Aidha Tawi lina Dira na Utume wake katika kutekeleza malengo yake. DIRA. Kuwa na Jamii ya Viziwi inayoishi maisha bora na yenye staha UTUME. CHAVITA Mtwara itahakikisha kuwa Jamii ya Viziwi ina Maisha bora kwa kujijengea uwezo wa kujiamini,kujithamini,kujiendeleza,kukuza matumizi ya lugha ya Alama Tanzania na kushiriki kikamilifu katika shughuli zote za kimaendeleo,kiuchumi na kijamii kwa kushirikiana na Serikali pamoja na wadau wengine. MAADILI
MPANGO MKAKATI 2013-2017 Ili kufanikisha Mpango Mkakati wake CHAVITA Mtwara imejiwelea malengo mkakati mnne ambayo ni:- Lengo mkakati 1:Uwezo wa CHAVITA Mtwara na vikundi vyake vya wilayani umeimarika, ifikapo mwaka 2017 Lengo mkakati 2:Mawasiliano kati ya wanachama wa CHAVITA na jamii yameimarika, ifikapo mwaka 2017 Lengo mkakati 3: Vikwazo vya mawasiliano kati ya viziwi na wahudumu wa afya vimemalizika hadi kufikia mwaka 2017 Lengo mkakati 4:Utawala bora na haki za binadamu (viziwi) umeimarika, ifikapo mwaka 2017. KANUNI ZA FEDHA Ili kufanikisha malengo ya kimkakati haya na shughuli zingine za Asasi CHAVITA Mtwara ina Kanuni za fedha ambazo zinazingatiwa na kuheshimiwa wakati wote.
|
Mtwara Branch CHAVITA briefly CHAVITA MTWARA founded in 2001 under the Constitution and principles of the party branches of the Deaf TTanzania (CHAVITA) for Deaf own efforts. Also similar to all branches of CHAVITA Branch uses the logo and slogan CHAVITA which is equality. Also uses the Vision and Mission Branch of CHAVITA in implementing its objectives. VISION. CHAVITA ensure that Tanzanian society inawatambua, inawakubali, inawathamini, inawashirikisha Deaf and ensure they sumbuliwi poverty, violence, discrimination and oppression of any kind. Commission. CHAVITA ensure that the Deaf Community has a better life, inajijengea capable of self-confidence, develop, promote language Color Tanzania and participate fully in all activities of development, economic and social partnership with Government and other institutions. |
Translation History
|