Tawi la CHAVITA Mtwara kwa kifupi CHAVITA MTWARA lilianzishwa mwaka 2001 chini ya Katiba na kanuni za Matawi ya chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kwa juhudi za Viziwi wenyewe. Pia sawa na Matawi yote ya CHAVITA Tawi linatumia nembo na Kauli mbiu ya CHAVITA ambayo ni USAWA NA HAKI. Aidha Tawi lina Dira na Utume wake katika kutekeleza malengo yake. – DIRA. Kuwa na Jamii ya Viziwi inayoishi maisha bora na yenye staha – UTUME. CHAVITA... | (Not translated) | Hindura |