TARATIBU ZA CHUO – Mwanachuo anatakiwa kuwa mfano mzuri wa nidhamu wakati wote awapo Chuoni.
Mwanachuo anapaswa kuvaa “Uniform” pamoja na “Apron” au “Overcoat” awapo chuoni.
Mwanachuo anapaswa kufika chuoni kwa wakati na kuondoka kwa wakati uliopangwa.
Mwanachuo ahudhurie Chuoni siku zote za... | (Bila tafsiri) | Hariri |