| Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
|---|---|
SHOP KATIKA UFUATILIAJI WA FEDHA ZA UMMA ZILIZOTENGWA KWAAJILI YA MAENDELEO YA SEKTA YA ELIMUAsasi ya SHOP kwa sasa inatekeleza mradi wa kuimarisha uwajibikaji wa viongozi na wananchi ndani ya serikali za mitaa katika kata tatu za Mwakibete, Mwasanga na Tembela jiji la Mbeya. mradi huu umefadhiliwa na the Foundation For Civil Society. katika utekelezaji wa mradi huumpaka sasa asasi imefanikiwa kuendesha mafunzo ya ufuatiliaji wa rasilimali za umma katika sekta ya elimu kwa kamati za shule za msingi na bodi za sekondari pia kufanya mafunzo kwa viongozi wa serikali za mitaa ya kata za Mwakibete, Mwasanga na Tembela Jiji la Mbeya juu ya uwajibikaji na utawala bora. Vilevile asasi ilifanikiwa kuunda kamati ya ufuatiliaji mara baada ya mafunzo ya ufuatiliaji kufanyika. kamati hiyo ya ufuatiliaji yenye wajumbe 21 wakiwemo waandishi wa habari 2 wajumbe 10 kutoka kamati za shule za msingi na bodi za sekondari na wajumbe 8 ambao ni wanachama wa asasi kwa ajili ya kufanya ufuatiliaji mashuleni. Mambo mengi yameweza kubainika wakati kikosi kazi hicho kilipokuwa kikitembelea shule za msingi na sekondari za serikali zilizopo katika kata za Mwakibete, Mwasanga na Tembela. mambo hayo ni
|
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe
kama vile