About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/takuuki/topic/27195/add_message
: English
Base
English
Napenda kueleza machahche kuhusiana na Hali ilivyo kuhusu HIV/AIDS kwenye shule za Sekondari na Vyuo mbalimbali vya Ualimu hapa nchini Tanzania. – Nazungumzia jambo hili kwa sababu msisitizo kwa Vijana hawa upo kwenye Elimu ya Compyuta na Masomo ya Sayansi, lakini HIV/AIDS haihusishwi. Kutohusishwa inaonekana hawajengewi moyo wa Maisha ya Baadae,jambo ambalo mara wanapofuzu Taaluma yao wanaonekana tayari wana VVU lakini pia hawapendi kupangiwa kazi maeneo...
Let me explain machahche situation is related to the HIV / AIDS in secondary schools and various teacher training colleges in Tanzania. – I'm talking the matter because the emphasis for these youngsters is on education and computer science studies, but HIV / AIDS is not associated. Kutohusishwa seems not jengewi heart of the Future, which often have their Academic pofuzu seem already have HIV but do not want assigned the task areas in addition to...
Edit
Phytza@yahoo.com (Peace and Hope for Youth Development "PHY") – Dhana ya kutowajali vijana hasa wa vyuo mbalimbali hasa vyuo vya elimu ya juu katika suala zima la Ukimwi, kwakuwa jamii inaamini kuwa vijana hawa wana uelewa kuhusu UKIMWI na madhara yake, kitu ambacho kwa mtazamo wangu sio sahihi. Hivyo nadhani vijana wa elimu ya sekondari na vyuo vya elimu ya juu wanapaswa kuelimishwa pia stadi za maisha ili kupata elimu ya kujithamini, na hivyo kuepuka...
Phytza@yahoo.com (Peace and Hope for Youth Development "PHY") – The concept of youth, especially university kutowajali especially various colleges of higher education in the context of AIDS, because society believes that the young people have the knowledge about AIDS and its consequences, something that my view is incorrect. So I think the young people of secondary education and higher education colleges should also be educated in order to obtain life...
Edit
@Ng'onye John (Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Kitangari- Newala.): Nafikili jambo lakufanya viongozi wa dini, wanasiasa na walimu iwe kauli mbiu kwao wanapokuwa wako jukwaani iwe salamu yao kwa hadhira, asante!
@ Ng'onye John (Institute of Anti-AIDS Kitangari Newala.) Nafikili matter what to do religious leaders, politicians and teachers should be the motto for them when they are on stage to be a greeting to the audience, thank you!
Edit
ELIMU YA UKIMWI SEKONDARI NA VYUONI INASAHAULIKA.
AIDS EDUCATION AND SECONDARY INASAHAULIKA college.
Edit