Vijana wa TEYODEN wajadili ukimwi kwa kina – Katika kukabiliana na changamoto zinazowakabili vijana hapa nchini,vijana wa TEYODEN hivi karibuni walipata fursa ya kuyaunganisha mawazo yao kwa njia ya mjadala kuhusiana na ugonjwa wa ukimwi ikiwa ni katika mfululizo wa mijadala inayofanyika mara mbili katika kila mwezi. – Katika mjadala huo vijana waliona ni muhimu kukawepo na wataalamu toka idara ya afya,viongozi wa dini na ikiwezekana awepo kiongozi mmoja toka serikalini,kwani mara... | (Bila tafsiri) | Hariri |