Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/tascco/post/10745
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Ndiyo kwakua mnashughulika na suala la utamaduni mie kama mdau wa shughuli hiyo niko nanyi TASCCO
(Bila tafsiri)
Hariri
Tascco kuandaa safari ya kwenda Bujora sehemu ya Kihistoria iliyopo Jijini Mwanza siku ya Alhamis ya Tarehe 31.03.2011 Hii itahusisha Wanafunzi wa darasa la NneShule ya Msingi Mbugani pamoja na Walimu wao.Hii ni ziara ya kielimu kwani Tascco inahusiana na mambo ya Kiutamaduni.
(Bila tafsiri)
Hariri