Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/tawa/post/120286
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Jikinge na maambukizi ya ukimwi tumia lady pepeta
(Not translated)
Hindura
Tawa inaendelea na mapambano dhidi ya VVU/Ukimwi kwa wasichana wanaofanya biashara ya ngono kwa kuawelimisha matumizi sahihi ya kondom ya kike (Lady pepeta) na kuzisambaza ili walengwa wasipate maambukizi mapya ya ukimwi.Tumeamua kutoa elimu hii katika mkoa wa Dar es salaam na wilaya zake ili kunusuru kundi hili ambalo linazidi kuongezeka siku hadi siku.Kampeni hii imeanza Mkoa huu na baadae itaendelea Tanzania nzima katika mikoa inayoonekana ni tishio kwa maambukizi...
(Not translated)
Hindura