Interview 6 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko mwanga 'B'South – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Nahitaji mifereji iboreshwe kwa kutanuliwa.
Kubomolewa nyumba zilizojengwa bila mpangilio.
Kujengwe makaravati yatayowezesha maji kupita kwa urahisi.
3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Ukuta wa nyumba ulibomoka,vitu vya... | (Bila tafsiri) | Hariri |