Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Interview 6 1.Unaishi eneo gani?! Keko mwanga 'B'South 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?!
3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! Ukuta wa nyumba ulibomoka,vitu vya ndani vyote viliharibika,mashine yangu ya kaz ya welding ilipotea. 4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?!
5.Vyanzo vya ubora vya maji vimepata athari gani kutokana na mafuriko?! Watu walioko kwenye miemuko walizibua vyoo na vingine kuharibiwa na maji,vilisababisha vyanzo vya maji ya kisima kuchanganyika na maji taka,na hivyomaji yanayotumika kutokua salama. 6.Kama una kazi,inakuchukua muda gani kutoka nyumbani mpaka eneo lako la kazi?! wakati nna kazi ilikua inanichukua dakika 15,kwa sasa sina kazi. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe