Base (Swahili) | English |
---|---|
Interview 10 1.Unaishi sehemu gani?! Keko mwanga 'A' 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! Kuboresha miundo mbinu,mfano mfereji mkubwa kupanuliwa,mifereji midogo midogo ijengwe itakayotiririsha maji kwenye mfereji mkubwa. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?!
4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?!
5.Vyanzo vya ubora wa maji vimepata athari gani kutokana na mafuriko?! Vyanzo vya maji mtaani kwetu vyote vimeharibika hivyo kukosa upatikanaji wa kira maji safi na salama. 6.Kama una kazi,inakuchukua muda gani kutoka nyumbani mpaka eneo lako la kazi?! |
(Not translated) |