Hivi sasa TARUCODEFU imekamilisha shughuli za utafiti shirikishi vitendo kuhusu tatizo la uhaba wa mai safi na salama kwa matumizi ya nyumbani linalo wakabili wakazi wa wilaya ya Mkuranga. Utafiti huu uligharimu jumla ya fedha kiasi cha shilingi za kitanania zipatazo 9,750,000/=. Fedha hizo zilipatikana kwa ufadhili wa shirika la utafiti na kupambana na umasikini nchini Tanzania la REPOA. – MAFANIKIO – Utekelezaji wa utafiti huu, umeleta mafanikio makubwa ambapo sasa... | (Not translated) | Hindura |