Base (Swahili) | English |
---|---|
Shughuli kubwa za TARUCODEFU ni kufanikisha mazingira ya uwezeshwaji yanayo hakikisha kuwa 1.wakulima, wavuvi, pamoja na wafanya biashara wadogo wadogo wanajengewa uwezo hasa katika kuwapatia misaada ya kiufundi pamoja na nyenzo zitakazo saidia ufanisi wa kazi zao. 2.Kuhakikisha kuwa watoto wote walioandikishwa kusoma katika shule za msingi wanapata nafasi hizo na wanahitimu masomo yao na tunawapa kipaumbele wasichana. 3,Vile vile Kuielimisha jamii na kusisitiza umuhimu wa kupambana na kuenea kwa virusi vya ukimwi hasa katika maeneo ya kinga. |
Activity TARUCODEFU a major achievement of the enabling environment which is sure to be 1.wakulima, fishermen, and small business capacity building especially in providing technical assistance and material support zitakazo effectiveness of their work. 2.Kuhakikisha that all children were enrolled to study at primary schools have the opportunity to qualify their study and we give priority to girls. 3, also to educate and emphasize the importance of fighting the spread of HIV, especially in the areas of prevention. |
Translation History
|