Shughuli kubwa za TARUCODEFU ni kufanikisha mazingira ya uwezeshwaji yanayo hakikisha kuwa – 1.wakulima, wavuvi, pamoja na wafanya biashara wadogo wadogo wanajengewa uwezo hasa katika kuwapatia misaada ya kiufundi pamoja na nyenzo zitakazo saidia ufanisi wa kazi zao. ... | (Not translated) | Hindura |