Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/wema
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Kutoa elimu yavvu ukimwi kwa jamii ya mtwara, kuelimisha wanawake wajane na vijana jinsii ya kujikinga na maambukizi ya ukimwi. Kutoa elimu kwa akina mama wajaane ili waweze kumudu maisha yao kwa kufanya biashara ndogondogo kama ulimaji wa mboga za majani na ufugaji kuku wa kienyeji.
(Bila tafsiri)
Hariri