Fungua
WAENDELEZAJI KATIKA ELIMU MAZINGIRA NA AFYA

WAENDELEZAJI KATIKA ELIMU MAZINGIRA NA AFYA

Ligula B, Tanzania

Kutoa elimu yavvu ukimwi kwa jamii ya mtwara, kuelimisha wanawake wajane na vijana jinsii ya kujikinga na maambukizi ya  ukimwi. Kutoa elimu kwa akina mama  wajaane ili waweze kumudu maisha yao kwa kufanya biashara ndogondogo kama ulimaji wa mboga za majani na ufugaji kuku wa kienyeji.

Mabadiliko Mapya
WAENDELEZAJI KATIKA ELIMU MAZINGIRA NA AFYA imejiunga na Envaya.
18 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Nangwandasijaona, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu