Envaya

/walipo: Kiswahili: WI000BAC895187C000001474:content

Asili ((unknown language)) Kiswahili
Kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa UKIMWI kwa kutumia sanaa. Pili, ni kusaidia watoto ya tima walioachwa na wazazi wao kutokana na ugonjwa wa UKIMWI. Tatu, ni kusaidia watoto ya tima sare za shule. Pia, kuwapa mahitaji madogo watu wanoishi na virusi vya UKIMWI.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe