Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/sadef/topic/23720
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Tunapo jadili swala la maadili sitahiki katika jamii, ili kuboreha/kustawisha maendeleo ya binadamu lazima tuelewe kuwa kuna mambo mengi yanayo simamia ujenzi wake. katika hali yoyote iwayo sirahisi kudumisha maaddili katika jamii yoyote ambayo hakuna usawa na haki katika mambo mbalimbali.Aidha ni shida kubwa kusimamia maadili katika jamii, jamii ambayo haitambui kazi kuwa ni jambo la lazima. kwani kupitia kazi ndiko ustaarabu wa binadamu hupatikana, kwa kuwa kazi ndiyo hufanya uwepo wa...
(Not translated)
Hindura
MAADILI KATIKA JAMII.
(Not translated)
Hindura