SAWAKA ni shirika linalojitegemea lisilo la kiserikali (NGO) lilioanzishwa mwaka 1995 na kuandikishwa chini ya sheria ya uandikishaji mashirika ,NGO Act , No 24 ya mwaka 2002 .Tangu kuanzishwa kwake shirika hili limekuwa likijishughulisha na utaoaji wa huduma mbali mbali kwa jamii na hasa wazee na makundi mengine ya watu wasiojiweza Kama vile watoto yatima na wale waishio... | (Bila tafsiri) | Hariri |