About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/VECA/post/82778
: English
Base
English
imani yangu ni kwamba mazingira yanamguza kila mtu kwa hali moja na ngingine inapaswa kila mtu ajue yupo kwenye nafasi gani
(Not translated)
Edit
Wengine wanasema jukumu la kutunza mazingira ni la serikali tu mimi sikubali bali ni la watu wate.
(Not translated)
Edit
Munajitahidi ila bado mazingira yanaharibiwa, hamuoniii – Elimu ya mazingira inahitajika
(Not translated)
Edit
Mazingira yanaharibiwa bila kujali athari ambazo zinaonekana wazi zinatokea, – ila jamii inahitaji kuendelea kupatiwa elimu ya uhifadhi wa mazingira ili tuepukane – na mabadiliko ya hali ya hewa
(Not translated)
Edit
(image)
(Not translated)
Edit