Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/VECA/post/82773
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Mbona hamjaweka visa mkasa ambavyo vimetokea,ama havijatokea ambavyo siamini. Ila tekelezeni mradi vizuri ndio mtaendelea kupata wafadhili
(Bila tafsiri)
Hariri
Kwa kweli VECA mumejitahidi sana, endelee na utendaji kazi wenu muna kufanikiwa zaidi. Ila mujaribu kuongeza taarifa zaidi katika website yenu, kama shughuli nyingi nyingi za uharibifu wa mazingira ambazo mumezifanyia kazi, za juu, baharini na hali ya hewa. Kwani nyinyi si muko visiwani basi pia changamoto mulizo nazo katika mabadiliko ya hali ya hewa. – Hongereni na nawatakia kazi njema
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri