Kwa kweli VECA mumejitahidi sana, endelee na utendaji kazi wenu muna kufanikiwa zaidi. Ila mujaribu kuongeza taarifa zaidi katika website yenu, kama shughuli nyingi nyingi za uharibifu wa mazingira ambazo mumezifanyia kazi, za juu, baharini na hali ya hewa. Kwani nyinyi si muko visiwani basi pia changamoto mulizo nazo katika mabadiliko ya hali ya hewa.
Hongereni na nawatakia kazi njema
15 Julai, 2013
Mbilinyi Albert (Iringa) alisema:
Mbona hamjaweka visa mkasa ambavyo vimetokea,ama havijatokea ambavyo siamini. Ila tekelezeni mradi vizuri ndio mtaendelea kupata wafadhili
Maoni (2)
Hongereni na nawatakia kazi njema