Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Vijana nje ya shule Duniani kote na Tanzania ni miongoni mwa makundi yaliyo katika hatari zaidi ya kuambukizwa V.V.U.Sababu hasa zinatokana na mazingira wanayoishi.Lakini pia vijana wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kutokana na kutokuwa na mbinu na uelewa wa kutosha wa kupambana na changamoto za makuzi yao.Matokeo ya hayo yote ni maambukizi ya V.V.U. Kadili vijana wanavyoambukizwa V.V.U na kuwa wagonjwa ndivyo familia zao zinavyozidi kupoteza nguvu kazi.
Suluhisho la haya yote ni kuwapa vijana stadi za kukabiliana na changamoto za kila siku katika makuzi yao.Kwa maneno mengine kuwapa vijana elimu ya stadi za maisha.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe