Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TEYODEN/post/115499
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Ni vizuri kwa kila eneo hii inaonyesha jinc gan mpo ok katika kaz za kijamii.. Ila iyo picha ya wasichana weng na mvulana mbele aipo fresh sana.. Siwez kuicoment hapa, ukitaka kujua why aipo powa yakubid unitafute kwenye facebook.. Tafuta maulid mziwanda
(Bila tafsiri)
Hariri
Donation
(Bila tafsiri)
Hariri
WAWAKILISHI 6 WA TEYODEN WAFANYA TATHMINI JIJINI ARUSHA NA WENZAO KUTOKA NEWALA,MAGU,HAI ARUSHA MJINI NA MWANZA MJINI KUMALIZA HATUA YA KWANZA MRADI WA WASICHANA WALIO PEMBEZONI. – (image) – Katibu mtendaji wa TEYODEN akiwa na wawakilishi wengine 5 wakifanya mjadala wa pamoja juu ya shughuli zilizofanyika,mafanikio,changamoto na mapendekezo katika mradi wa mabinti walio...
(Bila tafsiri)
Hariri