Maswali na majibu ya wahanga wa mafuriko{Mto mzinga Mbagala Mission) – 1)Mtaa wako unahitaji kitu gani? – Tunahitaji, maji safi na salama, barabara, mitaro ya kuruhusu maji kupita kwa urahisi kipindi cha mvua – 2)Unaishi eneo gani? {Mtaa gani} – Mtaa wa darajani mto mzinga Mission – 3}Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako? – Mali zangu zote zimepotea ikiwemo ,pesa, nguo magodoro... | Questions and answers to the victims of floods {River hive Mbagala Mission) – 1) Your Local what you need? – We need, clean and safe water, roads, drainage allowing water to easily pass the rainy season – 2) Do you live what areas? {What} Street – River Causeway Street a hive Mission – 3} How effective localized flooding in the house you lived with your things? – All my possessions have been lost, including money,... | Edit |