Log in

/Tawa/post/100185: English

BaseEnglish
Interview 6 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko mwanga 'B'South – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Nahitaji mifereji iboreshwe kwa kutanuliwa. Kubomolewa nyumba zilizojengwa bila mpangilio. Kujengwe makaravati yatayowezesha maji kupita kwa urahisi. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Ukuta wa nyumba ulibomoka,vitu vya...(Not translated)Edit