Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Interview 6

1.Unaishi eneo gani?!

Keko mwanga 'B'South

2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?!

  • Nahitaji mifereji iboreshwe kwa kutanuliwa.
  • Kubomolewa nyumba zilizojengwa bila mpangilio.
  • Kujengwe makaravati yatayowezesha maji kupita kwa urahisi.

3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?!

Ukuta wa nyumba ulibomoka,vitu vya ndani vyote viliharibika,mashine yangu ya kaz ya welding ilipotea.

4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?!

  • Nimekosa ajira kwani mashine yangu iliyokua inanipa ajira imepotea.
  • kurudi nyumba kimaendeleo maana sina mali yoyote ndani.

5.Vyanzo vya ubora vya maji vimepata athari gani kutokana na mafuriko?!

Watu walioko kwenye miemuko walizibua vyoo na vingine kuharibiwa na maji,vilisababisha vyanzo vya maji ya kisima kuchanganyika na maji taka,na hivyomaji yanayotumika kutokua salama.

6.Kama una kazi,inakuchukua muda gani kutoka nyumbani mpaka eneo lako la kazi?!

wakati nna kazi ilikua inanichukua dakika 15,kwa sasa sina kazi.

January 31, 2012
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.