Log in

/Tawa/post/100274: English

BaseEnglish
Interview 9 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko magulumbasi 'A' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Sehemu maalumu ya kuweka taka ili uchafu usizibe mifereji ya maji Kujengwe mifereji midogo midogo itakayowezesha kupitisha maji nyumba hadi nyumba. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Nimepoteza vifaa vyangu vya kazi kwa maji,nilikua...(Not translated)Edit