Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Interview 7 1.Unaishi eneo gani?! Magulumbasi 'B' 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?!
3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! Vitu vyangu vyote vya ndani vimechukuliwa na maji,mali zote za duka langu lililokua nyumbani lenye thamani ya zaidi ya Mil 15 kupotea. Vifaa vyangu kama deep freezer nilivokua natumia kukopesha kwa watu kupotea. 4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?!
5.Vyanzo vya ubora wa maji vimepata athari gani kutokana na mafuriko?! Bomba langu limeharibika kipindi cha mvua hivyo sina njia ya kupata tena maji bila gharama ambayo sina uwezo nayo kwa sasa. 6.Kama una kazi,inakuchukua muda gani kutoka nyumbani mpaka eneo lako la kazi?! Nimestaafu sina kazi. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe