Fungua

/Tawa/post/100112: Kiswahili

AsiliKiswahili
Interview 3 – 1.Unaishi eneo gani?! – Magulumbasi 'B' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Kuvunjwe nyumba ambazo zimejengwa kando ya mtaro,kutengenezwe njia ya maji kutoka keko darajani mpaka bahari ya hindi. Kutengenezwe njia ndogo ndogo zitazoweza kupitisha maji kwa urahisi na mitaro izibuliwe mara kwa mara. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu...(Bila tafsiri)Hariri