Envaya
/Nuruhalisi/post/6196
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Jamii bado inaitaji kuelimishwa zaidi kuhusu utunzaji wa mazingira pamoja na AFYA za walaji hivyo tunaitaji kuungana pamoja yaani JAMII,SERIKARI na ASASI ili kufanikisha hayo.
(Not translated)
Hindura
Mchakato huu ni endelevu na huu ni mwanzo tu.Hivyo tunawaomba wadau wote wa sekta ya AFYA wajitokeze ili tushilikiane na serikari yetu katika kufanikisha suala hili.
(Not translated)
Hindura
NURU HARISI WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MAMA NA BABA LISHE – DIRA YETU NI KUWAWEZESHA WAUZA VYAKULA NA MATUNDA WAZINGATIE YAFUATAYO ILI KUEPUKA KUENEA KWA KIPINDUPINDU KWA WATEJA – Osha vyombo kwa maji safi na sabuni Kufunika vyombo vyote vizuri na kwa usafi chemsha au tibu maji yote ya kunywa na kutengenezea juisi ya wateja na yafunikwe wakati wote Mpe mteja wako chakula kikiwa cha...
(Not translated)
Hindura