UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA – La Mgambo limelia… – (image) Kesho Jumamosi tarehe Novemba 22, saa mbili mpaka saa tatu asubihi, siku moja kabla ya kuanza zoezi la kuandikisha orodha ya wapiga kura, Mratibu wa Asasi ya Mpalano CDO, ataruka live katika kipindi cha TUWEKANE SAWA Cha redio ya Ushindi FM 98.6 ya mjini Mbeya, kufafanua masuala mbali mbali kuhusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika... | (Not translated) | Hindura |