Base (English) | English |
---|---|
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA La Mgambo limelia…
Usikose fursa hii adhimu ili kujijengea uelewa wa masuala mbali mbali yanayohusu uchaguzi huu ikiwa ni pamoja na Uandikishaji kwenye orodha ya wapiga kura, kuhakiki majina na hatua za kuchukua ikiwa jina lako halipo ama limekaa sivyo ndivyo; uteuzi wa wagombea, kuweka pingamizi dhidi ya mgombea, kampeni na utaratibu wa upigaji kura. Wote mnakaribishwa. Bonyeza HAPA kusikiliza tangazo la hamasa |
(Not translated) |