JEBA Society, ni kifupisho cha neno Jumuiya Endelevu Bagamoyo. Lilianzishwa mwaka 2000 na kupata usajili wa kisheria mwaka 2001, na kupewa cheti namba SO.11190. Lilianzishwa na vikundi vya kijamii kutoka wilaya ya Bagamoyo mjini na jimbo la Chalinze. Lengo kuu lilikuwa ni kuondokana na uonevu waliokuwa wakipata wakati misaada iliyokuwa inawalenga wao kupitishiwa halmashauri ya wilaya na kuwekewa vikwazo na mwisho wa siku huduma hizo kuishia kwa baadhi ya watu wasio walengwa. mf. hai ilikuwa... | (Not translated) | Hindura |