Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Je serikali ya kijiji ina taarifa? Wamechukua hatua gani ? Je wana ndugu wanasemaje ? Familia hiyo ina Baba ? Jaribu kuwasiliana na wanajamii pamoja na kanisa kwa msaada wa haraka. Pia nashauri kuwasiliana na ofisi ya ustawi wa jamii juu ya swala hili. Ni muhimu ufanyike uchambuzi wa hali halisi ya familia hiyo ukijumuisha changamoto na fursa zilizopo. Baadaye wadau wanaweza kuingilia kati. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe