About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/MSOAPI/history
: English
Base
English
Asasi ya Mtwara Society Against Poverty (MSOAPO) ni asasi ya kiraia iliyoanzishwa mnamo mwaka 2007 na wanachama waanzilishi 22 ambao walikuwa ni mabalozi wa kujitolea wa kampeni za ISHI ambazo zinalenga kupambana na janga la Virusi Vya Ukimwi na UKIMWI katika Mkoa wa Mtwara. MSOAPO ilipata usajili rasmi tarehe 15/08/2007 chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto kupitia Sheria Na. 24 ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2002. Namba...
(Not translated)
Edit