Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
(1) Kuinua vipaji vya vijana na watoto katika sanaa na michezo (2) Kulinda na kutangaza utamaduni wa mtanzania ndani na nje ya nchi kwa kuzingatia maadili na sheria za nchi (3) Kutete haki za vijana,wanawake na watoto katika mambo yanayowahusu (4) Kuwawezesha vijana na wanawake katika masuala ya ujasiliamali Kutoa elimu kwa vijana juu ya kuzuia na kupunguza madhara kwa vijana wanaotumia dawa za kulevya |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe