(1) Kuinua vipaji vya vijana na watoto katika sanaa na michezo – (2) Kulinda na kutangaza utamaduni wa mtanzania ndani na nje ya nchi kwa kuzingatia – maadili na sheria za nchi – (3) Kutete haki za vijana,wanawake na watoto katika mambo yanayowahusu – (4) Kuwawezesha vijana na wanawake katika masuala ya ujasiliamali – Kutoa elimu kwa vijana juu ya kuzuia na kupunguza madhara kwa vijana... | (Not translated) | Hindura |