Shirika la MUWWE Women/ Youth Povery Reduction Organisation, imeanzishwa mwaka 2003 na kusajiliwa Wizara ya mambo ya ndani Usajili No. SO14024 mwaka 2005, pia likasajiliwa usajili wa Asasi (NGO) Office ya Makamu wa Rais mwaka 2006 na kupata cheti cha compliance certificate. – KAZI ZA ASAS YA MUWOYOPORO - NGO NI: – (1) Kutoa elimu ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI na VVU pia kuwahudumia walioathirika na UKIMWI. – (2)Kutoa elimu ya kujiajiri ikiwa ni... | (Bila tafsiri) | Hariri |