Base (Swahili) | English |
---|---|
Shirika la MUWWE Women/ Youth Povery Reduction Organisation, imeanzishwa mwaka 2003 na kusajiliwa Wizara ya mambo ya ndani Usajili No. SO14024 mwaka 2005, pia likasajiliwa usajili wa Asasi (NGO) Office ya Makamu wa Rais mwaka 2006 na kupata cheti cha compliance certificate. KAZI ZA ASAS YA MUWOYOPORO - NGO NI: (1) Kutoa elimu ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI na VVU pia kuwahudumia walioathirika na UKIMWI. (2)Kutoa elimu ya kujiajiri ikiwa ni wajasiliamali kupita vita uamsikini na kujenga nyumba kwa gharama nafuu (3) Kutoa elimu kwa jamii, kutunza mazingira pamoja na kupanda miti na kutunza uoto wa asili na vyanzo vya maji. (4) Kuelimisha jamii kuwa na maendeleo kwa kuanzisha miradi endelevu kwa kuunda vikundi na kuwa na viwanda vidogo vya uzalishaji pamoja na kusaidia wakulima wadogo wadogo ili kupunguza umasikini. (5)Kusaidia yatima na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi pamoja na kusaidia wazee. Kutetea haki za binadamu katika jamii na pamoja na kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji. Lengo ni kuhakikisha jamii inapata huduma bora tena endelevu. Kwa kupunguza umasikini na magonjwa kwa vijana na akina mama Tanzania. Mtazamo kuwa na miradi endelevu kwa vijana na akina mama kupita vita umasikini na kuondoa maradhi. Miradi: Shirika la MUWWE Women / Youth Poverty Reduction Organisation. Mwaka 2005 - 2006 tulihamasisha jamii kusafisha Ziwa Victoria mwambao kwa kutoa magugu maji pamoja na kuwa na vitalu vya kuotesha miti na kuwagawia jamii na mashule pia kuwapatia elimu ya upandaji na utunzaji miti kuwa endelevu. Hatukuwa na ufadhili, tuliendesha mradi kwa nguvu kazi za viongozi na wanachama wa asasi. Mwaka 2007 - 2010 Shirika la Muwoyoporo kwa ufadhili wa wanachama wake tulioa elimu kwa wavuvi wadogo kwa kuwapatia nyenzo za kuwasaidi kuvua kwa utaalamu ili kujiongezea kipato kupiga vita uamsikini. Mwaka 2011 tumekuwa wasuluhisi wa migogoro kati ya wakulima na wafugaji eneo la vijijini. Pia viongozi wa asasi wamepatiwa mafunzo ya kubuni mradi na jinsi ya kuwa na kumbukumbu za utumaji fedha. Mafunzo haya yamefadhiliwa na The Foundation for Civil Society toka Dar es Salaam Tanzania Team ya Viongozi wa asasi: (1)Mkutano Mkuu- wote Bodi ya asasi watu- 7 Kamati tendaji watu 5 Kamati ya mipango - watu 3 Kamati ya fedha - watu - 4 Kamati ya elimu watu- 3 A. Mwenyekiti mtendaji Katibu Mkuu Mhazini. B. Mkurugenzi wa Asasi Mratibu mipango Mhasibu Mkuu Afisa elimu Makaguzi wa nadani. Shirika la Muwwe Women / Youth Poverty Reduction Organisation ina majukumu makubwa yanayogusa kila hitaji la jamii ni ombi letu kushirikiana na kila asasi yeneye moyo wa kusaidia jamii tushirikiane na tunaomba kupewa umuhimu wa kupatiwa ruzuku ili tuzidi kuboresha ufanisi makini katika kutoa huduma kawa jamii Ahsante
PENINA B. MACHUMU PROGRAM OFFICER MUWOYOPORO - WGO MUSOMA - MARA TANZANIA EAST AFRICA |
Organization MUWWE Women / Youth Povery Reduction Organisation, established in 2003 and registered the Ministry of Interior Registration No. SO14024 in 2005, also likasajiliwa registration organization (NGO) Office of the Vice President in 2006 and get a certificate of compliance Certificate. WORK OF THE ASAS MUWOYOPORO - NGO IS: (1) To provide education to prevent transmission of AIDS and HIV care also affected by AIDS. (2) Provide education through self-employment if Entrepreneurship is a poor battle to build affordable housing (3) provide education to the community, preserve the environment and plant trees and maintain natural vegetation and water sources. (4) To educate the community being developed to establish sustainable projects for creating groups and small industrial production and help small farmers to reduce poverty. (5) To assist orphans and children living in risky environments and helping the elderly. Defending human rights in society and with resolving disputes between farmers and pastoralists. The goal is to ensure the community receives the best service no longer sustainable. To reduce poverty and disease in adolescents and mothers in Tanzania. A sustainable approach to projects for young people and mothers pass against poverty and eliminating disease. Projects: The MUWWE Women / Youth Poverty Reduction Organisation. Year 2005 - 2006 We encourage the community to clean up Lake Victoria shores provide water with weeds and trees grow blocks and distributed communities and schools also provide education on tree planting and sustainable management. We did not have funding, we run the project with labor leaders and members of the organization. Year 2007 - 2010 Corporation for funding Muwoyoporo its members tulioa education for fishermen by providing resources for fishing kuwasaidi expertise to increase their income to fight the poor. 2011've been wasuluhisi conflict between farmers and pastoralists in rural area. Also leaders of the organization are trained in project design and how to have a record of sending money. This training yamefadhiliwa and The Foundation for Civil Society from Dar es Salaam Tanzania Team of Leaders of the organization: (1) General Meeting-all Board of the civil-7 Executive Committee 5 people Planning Committee - 3 people Finance committee - the people - 4 Education committee-3 people A. Chairman Executive Secretary Mhazini. B. Director of Civil Coordinator Chief Accounting Officer education programs Auditor nadani. Organization Muwwe Women / Youth Poverty Reduction Organisation has major responsibilities yanayogusa every need of our society are requested to cooperate with each organization yeneye heart of community support and we ask cooperate given the importance of grants received to improve efficiency tuzidi proactive in providing social services delayed Thank You PENINA B. MACHUMU PROGRAM OFFICER MUWOYOPORO - WGO Musoma - Mara Tanzania East Africa |
Translation History
|