Shirika la MUWWE Women/ Youth Povery Reduction Organisation, imeanzishwa mwaka 2003 na kusajiliwa Wizara ya mambo ya ndani Usajili No. SO14024 mwaka 2005, pia likasajiliwa usajili wa Asasi (NGO) Office ya Makamu wa Rais mwaka 2006 na kupata cheti cha compliance certificate. – KAZI ZA ASAS YA MUWOYOPORO - NGO NI: – (1) Kutoa elimu ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI na VVU pia kuwahudumia walioathirika na UKIMWI. – (2)Kutoa elimu ya kujiajiri ikiwa ni... | Organization MUWWE Women / Youth Povery Reduction Organisation, established in 2003 and registered the Ministry of Interior Registration No. SO14024 in 2005, also likasajiliwa registration organization (NGO) Office of the Vice President in 2006 and get a certificate of compliance Certificate. – WORK OF THE ASAS MUWOYOPORO - NGO IS: – (1) To provide education to prevent transmission of AIDS and HIV care also affected by AIDS. – (2) Provide... | Edit |