Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/OLAI/post/20555
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Tunashukuru sana kwa ushauri uliotolewa na ENVAYA kuwa, Asasi za kiraia/mashirika yasiyokuwa ya kiserikali, kuwepo na uhusiano na mitandao ya kitaifa na kimataifa, kueleza shirika linafanya au linajishughulisha na nini kwa jamii. Hii inasaidia shirika kujijengea uaminifu kwa mashirika wafadhili, na sio kujishughulisha na kuomba ruzuku toka kwa wafadhili. Yapo mashirika kama TACONGO, TANGO nk, ninaonelea kungekuwa na mwongozo wa kutuwekea hadharani mawasiliano ya mashirika hayo, ili tuweze kujua...
(Bila tafsiri)
Hariri
Kuhusu masuala ya utendaji wa watumishi wa Asasi za kiraia, kungekuwa na utaratibu wa kupata mafunzo ya kuwawezesha ili kupata uelewa wa kutosha na kuleta ufanisi wa shughuli zao za kila siku. Kuwe na ushirikiano kwa wadau na mitandao ya kitaifa na kimaifa.
(Bila tafsiri)
Hariri
Mfumo wa utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekezwa na mashirhika, huwa haileti mabadiliko kwa jamii kwa vile, mazingira ya ufuatiliaji na tathmini huwa hayana umakini kwa kukosa uelewa wa kutosha. Wito wangu kwa mashirika wafadhili, pamoja na mambo mengine iwe wanakuwa na utaratibu wa kuandaa mafunzo kwa mashirika madogo ili kuwaongezea ujuzi kwa ajili ya kuwawezesha kutoa taarifa kamili na sahihi za shughuli wanazozifanya kwa jamii. Tujue jamii pamoja na ugumu uliopo, wanahitaji...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Washiki wa washar/mafunzo ya sheria ya Ardhi Na. 5 vijiji ya mwaka 1999 na kanuni zake za mwaka 2002, yaliyoandaliwa na OLAI kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society. Mafunzo yaliyohusha kata 5 za Mkwiti, Ngunja, Litehu, Luagala na Nambahu katika wilaya ya Tandahimba Mkoa wa Mtwara-Tanzania
(Bila tafsiri)
Hariri