Envaya

/OLAI/post/20555: Kinyarwanda: CMrkAgVZ7h6PpIhUDuSJkDX8:content

Base (Igiswayire) Kinyarwanda
Mfumo wa utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekezwa na mashirhika, huwa haileti mabadiliko kwa jamii kwa vile, mazingira ya ufuatiliaji na tathmini huwa hayana umakini kwa kukosa uelewa wa kutosha. Wito wangu kwa mashirika wafadhili, pamoja na mambo mengine iwe wanakuwa na utaratibu wa kuandaa mafunzo kwa mashirika madogo ili kuwaongezea ujuzi kwa ajili ya kuwawezesha kutoa taarifa kamili na sahihi za shughuli wanazozifanya kwa jamii. Tujue jamii pamoja na ugumu uliopo, wanahitaji mabadiliko katika maendeleo na uchumi. Mobile: +255788 715 532/+255768 098 726. Wavuti: envaya.org/olai
(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe