Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/OLAI
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
OLAI ni Asasi ya kiraia iliyoanzishwa mwaka 2010 na kupata usajili katika wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia na watoto mwaka 2011. Ofisi za makao makuu zipo kijiji cha Sokoine, kata ya Chaume, Wilaya ya Tandahimba, Mkoa wa Mtwara Tanzania.
Kuiwezesha jamii ya wakulima wadogo na wa kati wa Tandahimba na Tanzania, kutambua fursa mbalimbali kwa kuzitumia na kushiriki kwa ufanisi ili iwawezeshe kuyaboresha maisha yao.
Hariri